| Titre : |
Siku njema |
| Type de document : |
texte imprimé |
| Auteurs : |
Ken Walibora |
| Editeur : |
Nairobi [Kenya] : Longhorn Publishers |
| Année de publication : |
1996 |
| Importance : |
150 p. |
| Présentation : |
couv. ill. en coul. |
| Format : |
18 cm |
| ISBN/ISSN/EAN : |
978-9966-49-744-4 |
| Note générale : |
Sherehe (glossaire), p. 138-150 |
| Langues : |
Swahili (swa) |
| Catégories : |
Kenya -- Romans, nouvelles, etc. ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans
|
| Index. décimale : |
F Fiction |
| Résumé : |
Nilimkumbukia marehemu amangu Zainabu, kalala usingizi usiojua wakati wa kuamka. Na baba? "Baba" kwangu likaonekana tu neno la kiswahili lililoingizwa kwenye kamusi kwa makosa; halina maana. Halikuamsha katika moyo wangu hisia zozote za kutamanisha. Baba... baba... nadharia tu ya wanafalsafa wenye makisio ya upuuzi. Macho yangu yalikuwa hayajawahi kumwona mtu na kumwita baba...
Mamake Kongolwea afapo, amachia msako mkali; msako wa kumsaka baba aliyemzaa. Isitoshe, amwacha kazingiwa katika ulimwngu wenye utata na matata chungu nima. Je, Kongowea ataweza kuishi maisha yasiyo na taksiri katika ulimwengu wenye taksiri? Je, ataweza kukitegua kitendawili cha babake ni nani?
Siku Njema ni riwaya ya kitawasifu inayomsafirisha msomaji katika mtiririko wa usimulizi wenye ibra, taharuki na lugha teule. Jambo libainikalo waziwazi ni jinsi mwandishi alivyobobea katika ukwasi wa lugha. |
Siku njema [texte imprimé] / Ken Walibora . - Nairobi [Kenya] : Longhorn Publishers, 1996 . - 150 p. : couv. ill. en coul. ; 18 cm. ISBN : 978-9966-49-744-4 Sherehe (glossaire), p. 138-150 Langues : Swahili ( swa)

|  |