Accueil
Catégories
Ajouter le résultat dans votre panier Faire une suggestion Affiner la recherche
Titre : Shetani Msalabani Type de document : texte imprimé Auteurs : [James] Ngugi wa Thiong'o, Auteur Mention d'édition : éd. scolaire Editeur : Nairobi [Kenya] : East African Educational Publishers Année de publication : 2011, c2010 Collection : Waandishi wa kiAfrika num. S26 Importance : vii, 347 p. Présentation : couv. ill. en coul. Format : 18 cm ISBN/ISSN/EAN : 978-996-6461676-4 Note générale : Trad. de : Caitaani mutharaba-ini Langues : Swahili (swa) Langues originales : Kikuyu (kik) Catégories : Fiction politique ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans Index. décimale : F Fiction Résumé : "This remarkable and symbolic novel centers around Wariinga's tragedy and uses it to tell a story of contemporary Kenya faced with the "satan of capitalism." Ngugi has directed his writing even more firmly towards the commitment that he shows in Writers in Politics and Detained: A Writer's Prison Diary. The novel was written secretly in prison on the only available material -- lavatory paper. It was discovered when almost complete but unexpectedly returned to him on his release."--pub. desc.
Shetani Malabani ni hadithi ya wazaendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangai, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mapepari; Muturi, mfanyakazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi mmoja aliyeitwa Mwauraandu amabaye alikuwa ameajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. Wote walikuwa wanaelekea Ilmorog kujionea mashindano ya wizi na unyang'anyi wa kisasa ili wavikwe taji na kuteuliwa kuwa wanyapara wa mali wa wabeberu nchini... Wakati walipokuwa katika hekaheka za kujitapa wakafumanrwa na wazalendo wa Ilmorog pamoja na wananchi wengine mashujaa....
Hadithi hii imeandikwa kwa umahiri mkubwa; imejaribu kuzungumzia jinsi shetani anavyowez kufukuziliwa mbali asiendelee kudhibiti mbinu zake za kutesa na kunyanyasa jamii humu duniani. Itakuchekesha, uvunjike mbavu na kutafakari.Shetani Msalabani [texte imprimé] / [James] Ngugi wa Thiong'o, Auteur . - éd. scolaire . - Nairobi [Kenya] : East African Educational Publishers, 2011, c2010 . - vii, 347 p. : couv. ill. en coul. ; 18 cm. - (Waandishi wa kiAfrika; S26) .
ISSN : 978-996-6461676-4
Trad. de : Caitaani mutharaba-ini
Langues : Swahili (swa) Langues originales : Kikuyu (kik)
Catégories : Fiction politique ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans Index. décimale : F Fiction Résumé : "This remarkable and symbolic novel centers around Wariinga's tragedy and uses it to tell a story of contemporary Kenya faced with the "satan of capitalism." Ngugi has directed his writing even more firmly towards the commitment that he shows in Writers in Politics and Detained: A Writer's Prison Diary. The novel was written secretly in prison on the only available material -- lavatory paper. It was discovered when almost complete but unexpectedly returned to him on his release."--pub. desc.
Shetani Malabani ni hadithi ya wazaendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangai, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mapepari; Muturi, mfanyakazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi mmoja aliyeitwa Mwauraandu amabaye alikuwa ameajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. Wote walikuwa wanaelekea Ilmorog kujionea mashindano ya wizi na unyang'anyi wa kisasa ili wavikwe taji na kuteuliwa kuwa wanyapara wa mali wa wabeberu nchini... Wakati walipokuwa katika hekaheka za kujitapa wakafumanrwa na wazalendo wa Ilmorog pamoja na wananchi wengine mashujaa....
Hadithi hii imeandikwa kwa umahiri mkubwa; imejaribu kuzungumzia jinsi shetani anavyowez kufukuziliwa mbali asiendelee kudhibiti mbinu zake za kutesa na kunyanyasa jamii humu duniani. Itakuchekesha, uvunjike mbavu na kutafakari.Réservation
Réserver ce document
Exemplaires (1)
Code-barres Cote Support Localisation Section Disponibilité 33831 F NGUG S Livre LSH Libre Accès Disponible
Titre : Siku njema Type de document : texte imprimé Auteurs : Ken Walibora Editeur : Nairobi [Kenya] : Longhorn Publishers Année de publication : 1996 Importance : 150 p. Présentation : couv. ill. en coul. Format : 18 cm ISBN/ISSN/EAN : 978-9966-49-744-4 Note générale : Sherehe (glossaire), p. 138-150 Langues : Swahili (swa) Catégories : Kenya -- Romans, nouvelles, etc. ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans Index. décimale : F Fiction Résumé : Nilimkumbukia marehemu amangu Zainabu, kalala usingizi usiojua wakati wa kuamka. Na baba? "Baba" kwangu likaonekana tu neno la kiswahili lililoingizwa kwenye kamusi kwa makosa; halina maana. Halikuamsha katika moyo wangu hisia zozote za kutamanisha. Baba... baba... nadharia tu ya wanafalsafa wenye makisio ya upuuzi. Macho yangu yalikuwa hayajawahi kumwona mtu na kumwita baba...
Mamake Kongolwea afapo, amachia msako mkali; msako wa kumsaka baba aliyemzaa. Isitoshe, amwacha kazingiwa katika ulimwngu wenye utata na matata chungu nima. Je, Kongowea ataweza kuishi maisha yasiyo na taksiri katika ulimwengu wenye taksiri? Je, ataweza kukitegua kitendawili cha babake ni nani?
Siku Njema ni riwaya ya kitawasifu inayomsafirisha msomaji katika mtiririko wa usimulizi wenye ibra, taharuki na lugha teule. Jambo libainikalo waziwazi ni jinsi mwandishi alivyobobea katika ukwasi wa lugha.Siku njema [texte imprimé] / Ken Walibora . - Nairobi [Kenya] : Longhorn Publishers, 1996 . - 150 p. : couv. ill. en coul. ; 18 cm.
ISBN : 978-9966-49-744-4
Sherehe (glossaire), p. 138-150
Langues : Swahili (swa)
Catégories : Kenya -- Romans, nouvelles, etc. ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans Index. décimale : F Fiction Résumé : Nilimkumbukia marehemu amangu Zainabu, kalala usingizi usiojua wakati wa kuamka. Na baba? "Baba" kwangu likaonekana tu neno la kiswahili lililoingizwa kwenye kamusi kwa makosa; halina maana. Halikuamsha katika moyo wangu hisia zozote za kutamanisha. Baba... baba... nadharia tu ya wanafalsafa wenye makisio ya upuuzi. Macho yangu yalikuwa hayajawahi kumwona mtu na kumwita baba...
Mamake Kongolwea afapo, amachia msako mkali; msako wa kumsaka baba aliyemzaa. Isitoshe, amwacha kazingiwa katika ulimwngu wenye utata na matata chungu nima. Je, Kongowea ataweza kuishi maisha yasiyo na taksiri katika ulimwengu wenye taksiri? Je, ataweza kukitegua kitendawili cha babake ni nani?
Siku Njema ni riwaya ya kitawasifu inayomsafirisha msomaji katika mtiririko wa usimulizi wenye ibra, taharuki na lugha teule. Jambo libainikalo waziwazi ni jinsi mwandishi alivyobobea katika ukwasi wa lugha.Réservation
Réserver ce document
Exemplaires (1)
Code-barres Cote Support Localisation Section Disponibilité 33828 F WALI S Livre LSH Libre Accès Disponible



