| Titre : |
Shetani Msalabani |
| Type de document : |
texte imprimé |
| Auteurs : |
[James] Ngugi wa Thiong'o, Auteur |
| Mention d'édition : |
éd. scolaire |
| Editeur : |
Nairobi [Kenya] : East African Educational Publishers |
| Année de publication : |
2011, c2010 |
| Collection : |
Waandishi wa kiAfrika num. S26 |
| Importance : |
vii, 347 p. |
| Présentation : |
couv. ill. en coul. |
| Format : |
18 cm |
| ISBN/ISSN/EAN : |
978-996-6461676-4 |
| Note générale : |
Trad. de : Caitaani mutharaba-ini |
| Langues : |
Swahili (swa) Langues originales : Kikuyu (kik) |
| Catégories : |
Fiction politique ; Littérature africaine en swahili ; Littérature africaine en swahili -- Écrivains kenyans
|
| Index. décimale : |
F Fiction |
| Résumé : |
"This remarkable and symbolic novel centers around Wariinga's tragedy and uses it to tell a story of contemporary Kenya faced with the "satan of capitalism." Ngugi has directed his writing even more firmly towards the commitment that he shows in Writers in Politics and Detained: A Writer's Prison Diary. The novel was written secretly in prison on the only available material -- lavatory paper. It was discovered when almost complete but unexpectedly returned to him on his release."--pub. desc.
Shetani Malabani ni hadithi ya wazaendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangai, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mapepari; Muturi, mfanyakazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi mmoja aliyeitwa Mwauraandu amabaye alikuwa ameajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. Wote walikuwa wanaelekea Ilmorog kujionea mashindano ya wizi na unyang'anyi wa kisasa ili wavikwe taji na kuteuliwa kuwa wanyapara wa mali wa wabeberu nchini... Wakati walipokuwa katika hekaheka za kujitapa wakafumanrwa na wazalendo wa Ilmorog pamoja na wananchi wengine mashujaa....
Hadithi hii imeandikwa kwa umahiri mkubwa; imejaribu kuzungumzia jinsi shetani anavyowez kufukuziliwa mbali asiendelee kudhibiti mbinu zake za kutesa na kunyanyasa jamii humu duniani. Itakuchekesha, uvunjike mbavu na kutafakari. |
Shetani Msalabani [texte imprimé] / [James] Ngugi wa Thiong'o, Auteur . - éd. scolaire . - Nairobi [Kenya] : East African Educational Publishers, 2011, c2010 . - vii, 347 p. : couv. ill. en coul. ; 18 cm. - ( Waandishi wa kiAfrika; S26) . ISSN : 978-996-6461676-4 Trad. de : Caitaani mutharaba-ini Langues : Swahili ( swa) Langues originales : Kikuyu ( kik)

|  |